THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

kisima chazinduliwa kijijini Mchomoro wilayani namtumbo, Ruvuma

Kaimu mkurugenzi. Wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Bw. Laberto Mbilinyi akizindua kisima cha maji kilichogharimu kiasi cha shilingi milioni tano hapo Jana katika kijiji cha Mchomoro wilayani humo.


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Jamani hicho kisima si wangetengeneza mahali pa kukingia maji. Hapo walipoweka ndoo kuna bonde pembeni mtu akiteleza kidogo tu humo.