Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (katikati mbele) pamoja na wataalam kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) akiendelea na ziara katika kituo cha kuzalisha umeme cha Mtwara. 
Meneja wa kituo cha kuzalisha umeme cha Mtwara, Mhandisi Mkulungwa Chinumba (kushoto) akielezea mitambo ya kuzalisha umeme inavyofanya kazi katika kituo hicho. 
Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kupooza umeme cha Mtwara, Mhandisi Amon Gamba (kushoto) akielezea maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa ( wa pili kushoto) 
Msimamizi wa shughuli za uzalishaji kutoka Mnazi Bay, Kilemo Nyomwa akielezea mikakati ya uzalishaji wa gesi ya kutosha katika kituo hicho ili kuendana na kasi ya ukuaji wa viwanda katika mkoa wa Mtwara. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sasa Ankal kule Tanga mbona wameacha kunateketea tu viwanda vyote vimekufa je kile kiwanda cha mbolea Tanga serekali wakiangalie kwa jicho la pili nacho jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...