THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

KUTOKA MAKTABA: MWALIMU NA WASIDIZI WAKE IKULU

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kati) alikuwa na wasaidizi wa karibu mahiri mbalimbali katika enzi za uongozi wake wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hawa ni baadhi tu waliomsaidia kwenye nyanja ya habari. Kutoka kushoto ni Marehemu Sammy Mdee, Paul Sozigwa, Marehemu Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa, ambaye alikuja kuchukua nafasi yake kwenye awamu ya Tatu. 


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    RIP wazee wetu waadilifu. Amebakia Ben tu kwenye hili group.

  2. Anonymous Anasema:

    Safi sana kwa kumbukumbu

  3. haidar omar Anasema:

    kumbukumbu nzuri