Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kati) alikuwa na wasaidizi wa karibu mahiri mbalimbali katika enzi za uongozi wake wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hawa ni baadhi tu waliomsaidia kwenye nyanja ya habari. Kutoka kushoto ni Marehemu Habibu Halahala, Paul Sozigwa, Marehemu Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa, ambaye alikuja kuchukua nafasi yake kwenye awamu ya Tatu.
Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: MWALIMU NA WASIDIZI WAKE IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RIP wazee wetu waadilifu. Amebakia Ben tu kwenye hili group.
ReplyDeleteSafi sana kwa kumbukumbu
ReplyDeletekumbukumbu nzuri
ReplyDelete