THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

'NILIAHIDI, NIMETIMIZA, NITAENDELEA KUTIMIZA' - RAIS JOHN POMBE MAGUFULI


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  The mdudu, hii imekaa vyema tupo pamoja kipenzi cha watanzania tunao amini win win situation tumbua tumbua baba twende hapa #Job2

 2. natae mm Anasema:

  Vita bado ni kubwa dhidi yako,unaongoza watu walio na maneno mengi kwa midomo badala ya vitendo. Watu wasio na shukran hata walambwe visigino na maeneo mengine hawaoni. NENDA BABA ILA BINADAMU HANA SHUKRAN, MUNGU AKUFIKISHE SALAMA.

 3. Mwoce Anasema:

  Safi Baba kaza buti tuko nyumba yako. Udumu!

 4. HK Anasema:

  In Sha Allah. Hata kwa Mwenyeez Mungu Miadi/Ahadi zote ni zenye kuja kuulizwa ni vipi au jinsi gani tulivyoweza kuzitimiza. Tunazidi kukuombea kwa Mwenyeez Mungu azidi kukufanyia wepesi juu ya hilo na kukuongoza katika kheri zake zote, ili uweze kuzikamilisha na kuzitimiza ahadi zako zote ulizotuahidi Watanzania na mengineyo mema uliyokusudia na kuyadhamiria kututendea watanzania. Mungu akubariki, akulinde na kukunusuru shari na mabaya yote - AMEN. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, Ibariki Afrika na Dunia kwa jumla.

 5. Anonymous Anasema:

  MKUU, WA NCHI, SI VIGUMU KUJITOLEA KWA KUMSAIDIA RAFIKI YAKO, LAKINI NI VIGUMU KUPATA RAFIKI AJITOLEE KWA AJIRI YAKO,BABA MKUU KITU KINACHO KUSAIDIA SANA NI UNATABASAMU NA WATU MASIKINI, KWANI KUNAKUONGEZEA MALIPO MEMA KWA MWENYEEZI MUNGU.

  DR JAMEESY