VIONGOZI MBALIMBALI WAMEJITOKEZA KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI,VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR LEO .
SANDUKU LENYE  MWILI WA MAREHEMU DKT DIDAS MASABURI LIKIWASILI VIWANJA VYA KARIMJEE,JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI HII KWA AJILI YA KUTOLEWA HESHIMA ZA MWISHO,AMBAPO RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ALIWAONGOZA WANANCHI WALIOFIKA KUSHIRIKI KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016.
 Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016.
 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016..

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

 1. Meya wa zamani wa Dar es salaam ni Dr. Didas MASABURI Na sio Didas MAGUFULI Kama mlivyoandika kwenye picha zenu. Rekebisha hiyo tafadhali

  ReplyDelete
 2. Tafadhali rekebisheni makosa hayo, Meya wa zamani ni Dr. Didas MASABURI na sio DR. Didas MAGUFULI kama mlivyoandika nyinyi.

  ReplyDelete
 3. mwandishi pse ni dkt. Didas Masaburi na si dkt Didas Magufuli

  ReplyDelete
 4. JPM safi saana.

  ReplyDelete
 5. I don't think if it was necessary to show adults crying

  ReplyDelete
 6. Mimi sijaelewa hii ya kutoa heshima kwa kufungua sanduku. This is normally done in a Funeral Home for families and close friends. Bongoland seems to be for everybody, heshima gani hiyo kuangalia maiti?

  How it started I still can't remember, it is just not our culture and no one's culture to view a dead body in public.

  ReplyDelete
 7. Only family members and their friends should do the viewing and in private and not in public. Bongo hii tumetoa wapi?

  I find it very disgusting. Unaangalia kuona kama kweli amekufa - there is no paying respects in that.

  ReplyDelete
 8. baadhi ya watu wenye kuitafsiri dini za wengine utasikia oohh dini fulani imeruhusu mke zaidi ya mmoja ni vibaya...Dini iliruhusu kwa maana yake, kuepukana na vitu kama hivi vya kuwa na wake ambao hawajaolewa kidini...Japo iliruhusu lakini kuna vigezo fulani lazima ukidhi.

  Sasa ile ilokataza mbona unakuta mtu anawake zaidi ya mmoja?
  utakuta mtu kaoa lakini nje anamahawara au hawara na mtoto kamzalisha na kiunyumba kamuweka wanavunja amri ya kukataza kuzini...

  Bora tuu dini zote zingeruhusu..ili watu wasizini wafunge ndoa ya kidini ila wawekewe vigezo maalumu hadi mtu kufunga ndoa hiyo..

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...