THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Samaki mkubwa akutwa amekufa katika ufukwe wa bahari ya Kilwa masoko leo,ana urefu wa ft 30

 
 
 Baadhi ya Wananchi wakiwa juu ya mgongo wa huyo samaki mkubwa ambaye mpaka sasa hakufahamika jina lake mara moja
Sehemu ya mwili wa samaki huyo 


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Ndio tatizo la wasomi kukwepa kukaa vijijini juzi juzi waingereza huko cardif walionywa kukaa mbali na ufukwe baada ya samaki nyangumi kwenda kina kifupi akakosa hewa ya kutosha akafa...ila kwakuwa hawakuwa na uhakika wa chanzo cha kifo chake watu waliambuwa wasisogee kuepuka magonjwa ya mlipuko hao punda hapo ndio kwanza wamemkwea...na serikali ya kijiji inawachekea... Michuzi nawewe unachekelea...tuna safari ndefu

 2. Anonymous Anasema:

  Hajajulikana jina au sema hamumjui jina ? Huyo ni chongowe a.k.a nyangumi basi hata kufananisha picha hamjui ama ndo u-mjini umewazidi?

 3. Anonymous Anasema:

  Unashangaa kuona wanakwea....ukiuliza saa hizi utaambiwa wamemgawana kwenda kumla.....tuelimishaneni wabongo mnatakiwa kujiuliza kafa kwanini sio mnakimbilia tu....kwa kweli bado tunasafari ndefu sana

 4. Anonymous Anasema:

  Samaki unaweza kula hata kama amekufa!

 5. Anonymous Anasema:

  Kibaya zaidi ni kwamba wamemkata na kugusa damu yake bila hata kuvaa kinga (gloves). Harafu tunalaumu serikari kwamba hakuna dawa. Kwa mwendo huu wa kijinga hata kama serikari ikijaza dawa nyumba zote za Tanzania na watu wote tukalala nje bado dawa hazitatosha. Hivyo tujifunze na tujuwa kwamba kuna uzezeta kwetu sote raia na viongozi wetu, kamwe tusiwe wepesi kulaumu serikali. Niulize swali, idara husika iko au ilikuwa wapi? Je, nia ya kumkata ni dalili ya kujipatia mlo au kuangalia kama ndani yake kuna vito vya thamani/dhahabu nk?

 6. Samaki huwa analiwa wakati ameshakufa, na Hugo ni NYANGUMI.