SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli, ameliagiza shirika la umeme Tanesco kuhakikisha viwanda vyote vikubwa nchini vinapatiwa umeme wa uhakika; https://youtu.be/jayEKBxkcnM
SIMU.TV: Waziri wa Tamisemi George Simbachawene, ameagiza mamlaka husika kumvua madaraka mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya kutwa Mbeya;https://youtu.be/GnLYc7laaAo
SIMU.TV: Benki ya dunia inakusudia kuipatia Tanzania ruzuku na mkopo wenye masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni moja; https://youtu.be/n8pkdinO2x8
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CDA kilichouzwa zaidi shilingi milioni 200 huku CDA ikiambulia milioni 6 tu;https://youtu.be/Bpw_0p9y2gw
SIMU.TV: Kuelekea kilele cha maadhinmisho ya kifo cha Mwalimu Nyerere, tunaendelea kukuletea mfululizo wa baadhi ya hotuba zake muhimu kabisa kwa taifa letu;https://youtu.be/I0v8MefwvYU
SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dr Alli Mohamed Shein, ameutaka mfuko wa hifadhi za jamii visiwani humo ZSSF kubuni miradi ya kisasa ili kujiendesha kibiashara;https://youtu.be/PcP8G6wZ_tM
SIMU.TV: Wadau mbalimbali wa uchumi nchini wameiomba serikali kupunguza mlolongo mrefu wa upatikanaji wa vibali kwa ajili ya kujenga viwanda; https://youtu.be/v2xUy7WZLbI
SIMU.TV: Benki ya TIB imetumia wiki ya huduma kwa wateja kuongea na wateja wao ili kuweza kupata mrejesho wa huduma wanazotoa kwa wateja wake; https://youtu.be/gh15-ngVSAQ
SIMU.TV: Timu ya Simba imeliomba shirikisho la mpira TFF kuleta waamuzi kutoka nje ya nchi ili kuondoa uwezekano wa kutoa kwa vurugu; https://youtu.be/hCAsFQoMLcg
SIMU.TV: Kampuni inayosimamia tiketi za kielekitroni ya Selcom, imesema imefanyia marekebisho mapungufu yaliyojitokeza katika mchezo wa Yanga na Simba;https://youtu.be/WxtdfBCWUCs
SIMU.TV: Wasanii wanaoshiriki shindano la kutafuta vipaji linaloratibiwa na TBC la Klabu Raha Leo show, wamepiga kambi katika shule ya Filbert Bayi Kibaha;https://youtu.be/YY30_yY0ixI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...