Kaimu Afisa Utumishi Mkuu wa Manispaa ya Ubungo, Joseph Alute akipanda mti katika kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipowataka wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupanda miti kwaajili ya kutunza mazingira pamoja na kupendezesha mazingira ya jiji.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dkt. Sivila Mwanisi akishirikiana na mfanyakazi wa manispaa ya Ubungo Kupanda miti ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam za kupanda miti jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari wakipanda mti jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Yasir Adam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...