Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania , Hassan Saleh akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa kamapuni hiyo Mlimani City jijini , wakati wakijiandaa kuelekea sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, akiongea na waandishi wa habari, kuhusiana na wafnayakzai wa kampuni hiyo kwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam, Masoud Juma akiunganishwa katika huduma ya M-Pawa na Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Meneja
Huduma wa Vodacom Tanzania,Dia Mussana (kulia)akimuanganishia Mohamed Zuber anayefanya baiashara ya Urembo
katika soko la Tandika jijini Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam
na Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya
huduma kwa wateja Duniani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...