Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhami ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe kabla ya kupondoka kweye uwanja wa ndege wa Arusha kurejea Dar es salaam  Oktoba 21, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, GAbriel Daqalo na watatu  kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius  Kahyarara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Gabriel Daqalo kwenye uwanja wa ndege wa Arusha kabala ya kurejea jijini  Dar es salaam Oktoba 21, 2016 . Jana alifungua Mkutano wa sita wa wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha `mikutano cha Kimataifa cha Arusha AICC. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe na Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa  Godius Kahyarara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...