Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakiangalia
kiwanda cha ILULU kilichokuwa
kinatengeneza mafuta ambacho mwuekezaji amekifanya kuwa ghala na kukitelekeza na
watu kuiba vifaa na kufanya uharibifu mkubwa. Kiwanda hicho kipo Nachingwea Mkoani Lindi ambako Waziri Mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya
Nachingwea.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia baadhi ya magari
yalivyoharibika ambayo yalikuwa yanamilikiwa na kiwanda cha kukamua ufuta ILULU wilayani Nachingwea
Mkoani lindi ambapo mwekezaji aliyekichukua amebadili matumizi na kukifanya
Ghala la kuhifadhia bidhaa kushoto kwa waziri mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi
Godfrey Zambi.
Picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...