Kushoto  ni mdau Terry Shomari akiwa na mdogo wake Sunday Shomari wa Voice of America na mkewe Elinita katika sherehe ya birthday yake (Terry) pamoja na Thanksgiving day inayosheherekewa kama siku ya mavuno Marekani katika ukumbi wa Karma Lounge jijini Washington DC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...