Wananchi
wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipozungumza
nao, kusikiliza na kutatua kero zao katika eneo la Keko Dar es Salaam
leo, akiwa katika ziara ya kikazi wlayani Temeke. Mh.Paul Makonda yuko kwenye ziara ya siku kumi ya kuijenda upya Dar Es Salaam.PICHA NA BASHIR NKOROMO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...