THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SAFARI YA KUTOKA TABORA, DODOMA HADI DAR KWA BOMBADIER Q400 YA ATCL

Viongozi wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa , Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Nani alilipa nauli? Serikali au watu binafsi?

 2. HK Anasema:

  Mdau wa mwanzo hapo juu, binafsi nadhani waheshimiwa hao, watakuwa wametekeleza kwa vitendo ile kauli ya Mh. Rais siku ile ya uzinduzi rasmi wa ndege hizo mpya, khususa alipoongelea suala zima la gharama za usafiri aliposisitiza hakuna kuangalia hadhi wala cheo cha mtu, unless otherwise..

 3. Anonymous Anasema:

  MNAONA HIYO PICHA ILIVYO PENDEZA? WOTE MKO KWENYE NDEGE MOJA, HIYO NDIYO SAWA, NA NINAWAOMBA SANA JARIBUNI KUACHA TOFAUTI ZENU ILI NCHI IWE NA UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA MLIVYO KATIKA NDEGE HIYO PLEASE.

  DR, JAMESSY

 4. Anonymous Anasema:

  Nimeipenda hiyo sitting plan ya Mbowe na Dr Tulia na wanazungumza pamoja ,hakuna kuonyesha utofauti wa mjengoni,safi sana wakuu