THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Serikali haitatoa Vibali vya kununua Jasi/Makaa ya Mawe Nje ya nchi - Prof. Muhongo


 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa Tatu kulia) akiwa  katika mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka uliopo kata ya Ruanda mkoani Ruvuma ambapo  aliambatana na watendaji mbalimbali kutoka viwanda vya simenti vinavyotumia makaa ya mawe, Chama cha Wamiliki wa Malori (TATOA), Wazalishaji wa Makaa ya Mawe, Watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na viongozi kutoka  Mkoa wa Ruvuma.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tatu kushoto) akipata maelezo kuhusu briketi za makaa ya mawe zinazotengenezwa na kikundi cha Wanawake cha Mbarawala kwa  ajili ya kupikia. Kikundi  kinafadhiliwa na kampuni ya TANCOAL inayomiliki Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka ulipo mkoani Ruvuma.  Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbinga Cosmas Nsheye, wa pili kushoto ni Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje. Anayetoa maelezo ni Meneja Uendeshaji wa Kikundi hicho, Hajiri Kapinga. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA