THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENISIMU.TV: Spika mstaafu Anne Makinda ameiomba serikali kuharakisha mchakato wa marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ili kuongeza nguvu katika kupambana na ukatili wa kijinsia nchini. https://youtu.be/d4zLkiFJGXs

SIMU.TV: Hospitali ya taifa ya Muhimbili inatarajiwa kuanza kufanya uchunguzi wa homa ya ini na kutoa matibabu kwa ugonjwa huo kuanzia mwezi desemba mwaka huu. https://youtu.be/-asVqQ8p2jk

SIMU.TV: Shirika la mfuko wa hifadhi ya jamii la NSSF limeendelea kuwaondoa wadaiwa sugu walionunua nyumba na kushindwa kulipia katika maeneo ya Mtoni Kijichi. https://youtu.be/9Bhi3U1Z2KM

SIMU.TV: Shirika la maji safi na maji taka jijini Dar es Salaam DAWASCO limeombwa kushughulikia tatizo la maji taka yanayotiririka katika hospitali ya Apolo. https://youtu.be/87PPbETGFD4