Wana Diaspora wa UK mnaalikwa kuhudhuria kongamano litakalojadili mstakabali mzima wa haki ya Mwana Diaspora kikatiba ikiwemo haki ya kumiliki ardhi Tanzania iwapo wewe ni mzawa.
Mdahalo unatarajia kutoa elimu na mapendekezo juu ya swala hili.
Patakuwepo na wataalam mbali mbali wa maswala haya.
Karibu University of Coventry, School of Engineering
Tarehe 3 December, 2016
Saa 4 asubuhi
Uwepo wenu ni mhimu.
Umoja ni nguvu
Kwa tarifa zaidi walisilian na simu +44 7960811614
Ahsanteni
WOTE MNAKARIBISHWA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...