THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

THAMINI UHAI YAKABIDHI PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI 40 MIL KWA MGANGA MKUU MKOA WA KIGOMA

Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Paul Chaote (kushoto) akikabidhi funguo ya pikipiki kwa Vitus Bukombe Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Ilagala (kati kati) ikiwa ni moja ya pikipiki tisa zilizotolewa na shirika la Thamini Uhai kwa vituo vya afya mkoani Kigoma kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kukabiliana na vifo vya mama wajawazito na watoto wakati wa kujifungua anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Thamini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Thaimini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya pikipi tisa zenye thamani ya shilingi milioni 40 zilizotlewa na shirika hilo kwa serikali ya mkoa Kigoma (wa pili kushoto mstari wa mbele) Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma,Dk.Paul Chaote. (Picha Zote na Fadhili Abdallah).