Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPDC, Prof. Sufian Bukurra (wa
pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano kwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, George Salala (wa kwanza
kushoto) kwajili ya ukarabati wa Kituo cha Polisi Uwanja wa ndege
Mtwara, wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Mhandisi, Kapuulya
Musomba (kwa kwanza kulia), Mkuu wa Mkuu wa Kituo cha Polisi
Uwanja wa ndege Mtwara, Inspekta, Moses Moremi (wa pili kushoto)
na Kaimu Meneja wa Uwanja wa ndege Mtwara, Vita Majinge
(katikati).
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu akitoa neno la
shukurani mara baada ya kupokea mchango wa shilingi milioni tano
za ukarabati wa Kituo cha Uwanja wa Ndege Mtwara kutoka TPDC.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Geroge Salala akizungumza
katika wakati wa zoezi la kupokea mchango wa shilingi milioni tano
za ukarabati wa Kituo cha Uwanja wa Ndege Mtwara kutoka TPDC.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...