THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

DEREVA HUYU NI MGENI HAPA MJINI???

Gari ndogo ikivuka katika Barabara ya Mabasi ya Mwendo kasi, eneo la Magomeni Makuti (Moroco hotel zamani), Jijini Dar es salaam. Pamojana kwamba Matumizi ya barabara yamebadirika kwa maeneo mengi hapa mjini, lakini gari hii imeendelea kuutumia utaratibu ule ule wa zamani. sasa sijui ni makusudi au ndio kutokujua kama kuna mabadiriko hayo.


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    HAYO NI MAKUSUDI

  2. Anonymous Anasema:

    Magomeni Mikumi hamna kituo cha Mwendo Kasi. Hapo itakuwa ni Magomeni Makuti, njia panda ya kuelekea Tandale na Kinondoni.