Gari ndogo ikivuka katika Barabara ya Mabasi ya Mwendo kasi, eneo la Magomeni Makuti (Moroco hotel zamani), Jijini Dar es salaam. Pamojana kwamba Matumizi ya barabara yamebadirika kwa maeneo mengi hapa mjini, lakini gari hii imeendelea kuutumia utaratibu ule ule wa zamani. sasa sijui ni makusudi au ndio kutokujua kama kuna mabadiriko hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HAYO NI MAKUSUDI
ReplyDeleteMagomeni Mikumi hamna kituo cha Mwendo Kasi. Hapo itakuwa ni Magomeni Makuti, njia panda ya kuelekea Tandale na Kinondoni.
ReplyDelete