Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa anayeshughulikia Afya , Dkt Zainabu Chaula akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa
huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa
Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe
ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara
,Mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya
, Dkt Zainabu Chaula akiwaonyesha Ilani
ya Uchaguzi baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga
wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na
Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka
2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt Zainabu Chaula akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa
huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa
Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe
ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara
,Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Huduma za Afya Idara ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI), Dkt Anna Nswira akizungumza na
baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu
wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa
nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa
kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya ,Dkt Doroth
Gwajima akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa
huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa
Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango kabambe
ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara
,Mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...