Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Jumamosi March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. Mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mfalme Mswati wa III wa Swaziland mjini Mbabane Swaziland ambapo amezitaka Nchi wanachama wa SADC kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa maendeleo ya Jumuiya hiyo kama hatua ya kuwakwamua wananchi na umasikini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Jumamosi March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Jumamosi March 18,2017 na viobgozi wengine akiwa katika  mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mfalme Mswati wa III wa Swaziland mjini Mbabane Swaziland ambapo amezitaka Nchi wanachama wa SADC kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa maendeleo ya Jumuiya hiyo kama hatua ya kuwakwamua wananchi na umasikini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...