THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA AWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Alhamisi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kabla ya kuanza kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake wakati akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipiga ngoma wakati alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akizungumza jambo na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. KUNA VITU AMBAVYO NATAKA KUTOWA MAWAZO TU, SIO LAZIMA YAWE SAWA, UKITAZAMA WAKATI VIONGOZI WAWILI HAO, WAKATI WANATOWA MAELEZO YAO KATIKA IKULU YA JIJINI DAR ES SALAAM, UTAGUNDUWA KITU KIMOJA KIKUBWA SANA NINI MAANA YA KUWA MAKINI, RAISI DKT MAGUFULI WAKATI ANASUNGUMZA ALIKUWA AMESHIKA VIPANDE VIDONGO NYA MAKARATASI, LAKINI RAISI ZUMA ALIKUWA NA KITABU MAARUMU CHA MIENDENO YA MAZUNGUMZO YAKE KILA ANAPO KWENDA, KWANI HICHO KITABU NI VINGUMU SANA KUPOTE AU KUFICHWA MFUKONI KWANI NI KIKUBWA SANA, LAKINI YALE MAKARATASI YA MKUU WA NCHI YETU UNAWEZA KUYAWEKA MFUKONI NA KUONDOKA NAYO AU KUPOTEA KIRAISI SANA.
    TAZAMENI VIONGOZI WAKUBWA DUNIANI HUTUMIA SANA VITABU VIKUBWA NA SIO MAKARATASI UNAYO WEZA KUWEKA MFUKONI,
    NAOMBA WANAO WANAO FANYA MAANDIKO YA RAISI WAJARIBU SANA KUWEKA KATIKA KITABU KIZURI ILI TUONEKANE TUKO MAKINI SANA,
    DR, JAMESSY