Marehemu Edmund Lawrence Mushi

Kuzaliwa:07/12/1973
Kufariki:22/06/2015

Leo 22/06/2017 Umetimiza miaka miwili tangu umefariki Huko Houston,TX,USA.Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa sana na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.

Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako Rudolf(dofu),Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Dotto/Manka) na Mary(Mkakeni).Unakumbukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.

Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote.Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wa Tanzania Houston Community (THC) Houston TX, USA.Bwana alitoa,Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe,
Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...