Ankal Michuzi akizungumza na Wadau Abdul Malik wa Global Education Link na Pascala Mayala wa PPR katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa Dar es salaam (Sabasaba), Jijini Dar es salaam.
  Ankal Michuzi akizungumza na Wafanyakazi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali DailyNews na Habari Leo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa Dar es salaam (Sabasaba), Jijini Dar es salaam.
Ankal Michuzi  akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali Daily News na Habari Leo katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...