THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

CHUO CHA UTALII CHAKARIBISHA WATANZANIA KUJIUNGA NA CHUO HICHO

 Kaimu Mkuu wa Chuo cha Utalii Tanzania Mama Rosada Msoma  akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo  cha Utalii nchini  leo jijini Dar es salaam, ambapo  amewakaribisha Watanzania  kujiunga na kozi mbalimbali zitolewazo na chuo hicho.
 Baadhi ya watendaji wa Chuo cha utalii walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho leo.
Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo wa  Waandishi wa Habari uliohusu juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho