THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

FOTON YAINGIZA MAGARI MAPYA TANZANIA

 Meneja Mradi wa Simba Motors Brigedia Jenerali (Mstaafu) Michael Luwongo akizungumza katika utambulisho wa magari mpya ya Foton Motors leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mkuu wa Foton Motors Kenya Ltd,  Bw. Apple Sun.
 Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Mstaafu, Suleiman kova (kushoto) na bintiye Rahma Kova nao walfika katika utambulisho wa Magari ya kisasa ya Foton Motors jijini Dar es Salaaam.

Muonekano wa magari mapya ya kampuni Foton Motor leo jijini Dar s es Salaam.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.