Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho Mpoto akiimba mbele ya mashabiki waliomzunguka katika kituo cha taharifa cha Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kilichopo katika banda la Maonyesho ya 41 ya Saba saba jijini Dar es Salaam
 Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana CCM,Jokate Mwegelo akicheza na wamasai katika kituo cha taharifa cha Ngorongoro kinachoongozwa na Mrisho  Mpoto katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba jijini Dar es Salaam

 Msanii wa Muziki wa Bongofleva Nchini Haroun Kahena 'Inspector Haroun'  Akizungumza na wadau     taharifa cha Ngorongoro kinachoongozwa na Mrisho  Mpoto katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya Wamasai waliofika katika kituo cha taharifa cha Ngorongoro kinachoongozwa na Mrisho  Mpoto katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wamasai waliofika katika kituo cha taharifa cha Ngorongoro kinachoongozwa na Mrisho  Mpoto katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...