Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,
akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa
Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani
kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika
ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi
wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,baada ya timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia
wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi
kutembelea wizara wakiwa na lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya
wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es
Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mratibu
wa Mpango wa Kusaidia Wakimbizi na Nchi zinazohifadhi Wakimbizi,Dk. John Jingu, akizungumza wakati wa kikao na Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,baada
ya timu ya wataalamu kutoka Benki ya
Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi
kutembelea wizara wakiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao
hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...