MRATIBU wa
mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kutoka Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Safia Saleh Sultan, akielezea lengo la
mafunzo hayo, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, yaliofanyika
ofisi ya ZLSC mjini Chakechake
MRATIBU
wa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed,
akielezea kazi na mikakati ya kituo, kwenye mafunzo ya kutambulisha kazi za
wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo
yalifanyika Kituoni kwao Chakechake
Katibu tawala wilaya ya Chakechake, Sheha Mpate
Mtumwa, akifungua mafunzo ya
kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa
kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliofanyika Kituoni kwao Chakechake
MTOA
mada
ya Ugatuzi wa madaraka Said Makame Said, akielezea maana ya ugatuzi, kwa
madiwani na msheha wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliotayarisha
na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika osifini
kwao mjini Chakechake Pemba
AFISA
Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour
Mohamed, akigusia kipengele cha mamlaka ya masheha kisheria, kwenye mafunzo ya
kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa
kusini Pemba, yaliofanyika Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC mjini
Chakechake
MASHEHA na
Madiwani wa mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia mafunzo ya kutambulisha kazi za
wasaidizi wa sheria, kwenye mafunzo yaliotayarishwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika ofisini kwao mjini Chakechake. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...