Afisa Takwimu kutoka Wakala wa Usalama na Afya Kazini (OSHA) akimsaidia mmoja wa wakaazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wamefika katika banda hilo kujifunza namna Wakala huo unavyofanya kazi
Mkaguzi Uslama wa Umeme kutoka OSHA Bi. Maria Ndaskoy akimuelewesha mmoja wa wadau wa Mamlaka hiyo waliofika katika Banda la Maonesho Sabasaba kulipia masula mbalimbali
Mkaguzi wa Mazingira Mahala pa kazi kutoka OSHA akitoa elimu nmana ya watu wanavyotakiwa kukaa katika maeneo ya viwandani wakiwa salama na kuwaeleza kazi za OSHA
Mkaguzi wa Afya kutoka OSHA Dkt Edwin Senguo akitoa huduma ya upimaji Macho kwa wadau waliofika katika banda hilo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...