THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma ya Mafao ya Matibabu Kutoka kwa Ofisa wa NSSF, Aisha Omari alipotembelea banda lao katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali kutoka kwa Afisa Uhusiano Aisha Sango na Christina Msengi alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu kifaa cha kuandikishia wanachama kutoka kwa Afisa matekelezo, Burhan Idrisa alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Maafisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiendelea kutoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la NSSF, katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam. Bofya hapa kwa picha zaidi