AgroForHelp Foundation ni taasisi inayojishughulisha na kusimamia mashamba kupitia mabwana shamba walionao, usaidizi katika solar water pumps, Irrigation systems na green house, hivyo kwa wale wakulima wapya na wa zamani wanaweza kuwatafuta AgroForHelp Foundation kwa msaada wa maswala mbalimbali ya kilimo. Wasiliana nao kwa kupitia 0715 569 203 au 0768 406 406.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...