Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe
(kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna
bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. 
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa Heshima wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shrikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekaa katikati) baada majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mpira wa miguu leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...