Mshindi wa Apple iPad kwenye tournament ya kwanza ya karata (Albastini) ni Namwaka Lyamba, anaishi Sweden na mume wake. Tutatangaza mshindano ya pili hivi karibuni. Watu wanaweza kutucheki kwenye Facebook https://www.facebook.com/ Albastini/ au kwenye website yetu http://albastini.com/
Home
Unlabelled
Mshindi wa Apple iPad kwenye tournament ya kwanza ya karata (Albastini)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...