Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa bloggers wasipodhibitiwa wanaweza kuhatarisha amani ya nchi kwani watu wabaya wanawatumia sana kudanganya umma kwa kurusha habari potofu.
    Kwanza nilichokigundua ni kwamba watangazaji wengi hawana ELIMU na kile wanachokitangaza au kukihoji. Pili, Wengi wao hawana maswali ya kuwabana wanaowahoji. Kwa mfano lissu alipowaambia waandishi wa habari kwamba kuna watu wanamfuata, hakuna hata mwandishi/blogger mmoja aliyemuuliza kama ameomba ulinzi kwa kuhofia maisha yake au ameshtaki police? Maswali yao hayana BALANCE, yapo upande mmoja zaidi. ELIMU na MIKO ya taaluma hii inatakiwa kupewa kipaumbele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...