Meneja wa Vodacom Tanzania PLC,Mkoa wa Njombe,Benedict
Kitogwa(kushoto)akiwasisitiza walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari
Iwawa iliyopo mkoani humo kuzitumia vizuri na kuzitunza kompyuta 10
zilizotolewa msaada na Vodacom Tanzania Foundation shuleni hapo jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Mkoa wa
Njombe,Besta Chaula(kushoto)akipokea moja ya kompyuta kati ya 10 toka
kwa Meneja wa Vodacom Tanzania PLC wa Mkoa huo,Benedict Kitogwa
msaada huo ulitolewa na Vodacom Tanzania Foundation jana.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa Mkoa wa Njombe wakionyesha baadhi ya kompyuta kati ya 10 walizopewa msaada na Vodacom Tanzania Foundation jana,Anaeshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Tanzania PLC,Mkoani humo,Benedict Kitogwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...