Mkurugenzi wa  Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni  ya Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa  ambapo wafanyabiashara  watakao pokea  malipo kwa njia ya M-Pesa  watajishindia zawadi za pesa taslim  jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana.  Promosheni hiyo itadumu kwa  muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa  watashinda   zawadi  kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20.
 Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana (kushoto)   akishuhudiwa na Mkurugenzi wa  Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni  ya Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia(kulia)  wakati  akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani)   jijini Dar es Salaam  juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa  ambapo wafanyabiashara  watakao pokea  malipo kwa njia ya M-Pesa  watajishindia zawadi za pesa taslim  jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana.  Promosheni  hiyo itadumu kwa  muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa  watashinda   zawadi  kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...