Baada ya kupata baraka zote toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mabingwa wa muziki wa starehe nchini The Kilimanjaro band Wana Njenje wamerudi upya pale pale Salender Club jijini Dar kuanzia Jumamosi hii ya leo Machi 31, 2018 na kila Jumamosi kuanzia saa tatu hadi majogoo kama kama kawaida yao. Usiseme hukuambiwa  Hallooo...Hallooooo..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...