Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii

RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ametangaza idadi ya watu na makampuni yanayohifadhi fedha nje ya nchi kinyume na sheria na taratibu za nchi hiyo.

Mnangagwa alichukua madaraka Novemba mwaka uliopita baada Rais Robert Mugabe aliyepinduliwa na jeshi la nchi hiyo.Mugabe amehudumu nafasi ya Rais kwa miaka 37 tangu nchi hiyo mwaka 1980.

Mnangagwa mara baada ya kuchukua madaraka hayo mwaka uliopita alitoa siku 90 kwa watu na kampuni yaliyohifadhi fedha (dola 827 za kimarekani) kuzirejesha haraka iwezekanavyo.

Hadi anatangaza majina hayo zaidi ya 1500 nusu ya fedha kiasi cha dola milioni 591 zilikuwa zimerejeshwa. 

Na amesisitiza kwa walioshindwa kurudisha wajiandae kupambana na mkono wa dola.
RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...