THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Hongera sana Ruani Fundi Rumadha

Ni furaha na fahari ilioje kwa Sensei Rumadha Fundi baada ya mwanae  Ruani Fundi Rumadha kuhitimu Ray Braswell High school,  huko Aubrey,  Texas, Marekani leo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya Sensei Rumadha kumpongeza kijana wetu na kumtakia safari njema ya kielimu maishani mwake. HONGERA SANA RUANI!