Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Global Education link jinsi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini na nje ya nchi mara baada ya kutembelea katika  banda la Global Education Link wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 
 Wananchi wakupata maelekezo katika banda la Global Education Link mara baada ya kutembelea katika maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Kampuni ya Global Education Link(GEL) ikiwa imehudhuria katika Maonesho ya 13 ya Vyuo Vikuu ya Elimu ya Juu Tanzania (TCU) yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wananchi wamiminika katika banda GEL kupata malezo jinsi ya kujisajili na vyuo vikuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...