Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akielezea masuala mbalimbali ya shirika hilo, katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU). Wa pili kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo, na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), wakati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, katika mkutano huo, leo, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwa waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo leo, jijini Dar es Salaam.
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mipango ya kujizatiti kimataifa kwa shirika lake hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...