Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa  Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba na Young Africans utakaochezwa Septemba 30,2018.

Viingilio vya mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa VIP A shilingi 30,000
VIP B na  C shilingi 20,000,Viti vya rangi ya Machungwa,Bluu na Kijani shilingi 7,000

Tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia Septemba 20,2018 kupitia Selcom.

Wahi kununua tiketi yako mapema kwa kupitia kadi ya Selcom ambayo inakupa urahisi wa kununua tiketi yako.

Kadi za Selcom zinapatikana kwa mawakala waliopo sehemu mbalimbali nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...