Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki akielezea jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Ryoba akielezea hatua zilizofikiwa za uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa chaneli hiyo leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais, Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bibi. Joyce Fissoo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uanzishwaji wa Chaneli hiyo, Gabriel Nderumaki. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bibi. Joyce Fissoo akielezea jambo wakati wa kikao cha kamati inayoshughulikia uanzishwaji wa Chaneli ya Runinga ya Utalii leo jijini Dodoma. Chaneli hiyo inaanzishwa kufuatia agizo la Rais, Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mnamo tarehe 16, Mei, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Ryoba, Mwenyekiti wa Kamati ya hiyo, Gabriel Nderumaki. 
(Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...