Mafenesi yakiwa kando ya Barabara ya Kilwa kwaajili ya kusafirishwa katika kijiji cha Kimanzi chana leo Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Mfanyabiashara wa mafenesi katika kituo cha mabasi Mbagala jijini Dar es Salaam akiwauzia wateja wake baada ya msimu wa matunda hayo kuanza ambapo fenesi moja huuzwa kati ya sh 1500 hadi sh 4000 kutokana na ukubwa wake.
(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Fenesi Sokoni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...