Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili
mkoani Kilimanjaro tayari kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli
za kimaendeleo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna
Anna Mghwira akisoma
taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ameanza ziara ya kukagua na
kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...