Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini mbalimbali wa
Kanisa Katoliki, Maaskofu pamoja na Wageni mbalimbali kutoka ndani na
nje ya nchi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji,
Afya na Elimu mara baada ya Misa iliyofanyika Bagamoyo Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Muadhama Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Polycarp Kardinali Pengo wapili
kutoka kushoto waliokaa, Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi
John Kardinali Njue wapili kutoka kulia waliokaa, Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Benjamin Mkapa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwa katika
picha ya pamoja na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ndani na nje ya nchi
mara baada ya Misa ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na
Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Maaskofu wa Kanisa
Katoliki mara baada ya Misa ya ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya
Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Baadhi ya Maaskofu mbalimbali wa
Kanisa Katoliki wakiwa wanawasili kwa maandamano katika eneo
lililoandaliwa kwa ajili ya Misa takatifu ya Jubilei ya Miaka 150 ya
Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa pamoja na Spika
Mstaafu Anne Makinda wakiwa katika Misa takatifu ya ya Jubilei ya Miaka
150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Muadhama Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Polycarp Kardinali Pengo wapili
kutoka kushoto waliokaa, Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi
John Kardinali Njue wapili kutoka kulia waliokaa, Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Benjamin Mkapa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwa katika
picha ya pamoja na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ndani na nje ya nchi
mara baada ya Misa ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na
Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...